Vizazi (Muda Wa Majira)
A Dunia
ile iliyokuwa Mgao wa Kwanza (2 Petro 3:6,
Mwanzo 6:1113)
B Dunia mbovu ya sasa Mgao wa Pili (Wagalatia
1:4, 1Yohana 5:19, Malaki 3:16)
C Dunia ijayo Mgao wa Tatu (Waebrania
2:5, 2 Petro 3:13, Waefeso 1:10)
D Wakati wa Wateule (Matendo ya
Mitume 7:8)
E Wakati wa Wayahudi (Kumbukumbu la
Torati 7:6, Zaburi 147:19:20)
F Wakati wa Injili (Marko 1:1415,
Matendo ya Mitume 15:14, Mathayo 24:14)
G Wakati wa Masihi (1 Wakorintho
15:25, Ufunuo 20:1-6)
H Nyakati zijazo (Waefeso 2:7, 3:21)
f Wakati wa dhiki ya Israeli
katika nyakati za Mavuno ya Wayahudi-kugawanya
ngano na makapi
(Luka 3:1617)
S Wakati wa dhiki ya dunia katika
Mavuno ya Injili- kugawanya ngano na magugu (Mathayo
13:30, 38-40,
Ufunuo 14:15, 18)
T Mauti ya Pili, muda mfupi wa Shetani:
kugawanya kondoo na mbuzi (Mathayo 25:3132,
Ufunuo 20:710, 1415, 1 Wakorintho 15:26)
Misingi (Hatua Za Utukufu)
K Hali
ya Uungu ya utukufu na mamlaka ya afisi (Wafilipi
2:911, Ufunuo 3:21)
L Hali ya kupeanwa kiroho (Yohana 3:8,
1 Yohana 3;2)
M Hali ya ukombozi wa kiroho (Warumi
12:1, 1 Petro 1:34)
N Hali ya kibali cha Mungu (kwa
mwanadamu) (Yakobo 2:23, Warumi 5:89, 19)
P Hali ya kibali cha Mungu- (Mambo ya
Walawi 16:30, Waebrania 9:710)
R Hali ya dhambi na mahangaiko (mateso)-;
(Warumi 5:12, Isaya 64:6, Warumi 10:3)
Matuta (Makundi Ya Watu)
a Adamu
katika hali ya ukamilifu (Mwanzo 1:27, 31)
b Muanguko wa Adamu na uzao wake kabla
ya gharika (Mwanzo 6:5)
c Wateule wakuu wa zamani kama
kibinafsi (Warumi 4:23, Ezekieli 14:2,
Waebrania 11)
d Ukoo wa mwanadamu kutoka kwa gharika
hadi wakati wa Masihi (Warumi 5:12, 1 Johana
5:19)
e Hali ya kimwili ya Israeli kwa
kufanywa haki kama taifa (Mambo ya Walawi
16:3334, Waebrania 10:1)
Kristo
g Yesu
katika umri 30 mtu mkamilifu (Waebrania 10:5,
Johana 1:29-32)
h Yesu, apeanwa kiroho katika Yordani
(Mathayo 28:18, Yohana 5:26)
i Yesu, afufuka kwa mwili wa Kiungu (Mathayo
28:18, Yohana 5:26)
k Yesu, siku 40 baada ya kufufuka,
katika utukufu mkuu (Matendo ya Mitume 1:9,
Waebrania 9:24)
l Yesu, katika Wakati wa Injili,
akalishwa na Baba kwenye Kiti cha Enzi (Waebrania
6:20, 10:12,
Ufunuo 3:21)
Wakristo katika Wakati wa Injili
m Waliopeanwa Kiroho, wafanywa kuwa
Kundi Kuu (1 Wakorintho 3:11, 15)
n Waliozaliwa Kiroho wafanywa
Bibi-arusi wa Kristo (Warumi 12;1-2, 1 Petro
2:9-10,
Wagalatia 5:22-25)
p Wanaoamini,lakini hawajatakaswa
kamili (Marko 9:41,Mitume 26:27-28, Mathayo
22:14)
q "Magugu," Niwale waendao kanisani
lakini hawajaamini,Wanafiki (Mathayo 13:38,
15:8-9)
Nyakati za Mavuno ya Injili
r Yesu,katika kurudi kwake kwa pili (Yohana
14:3, Waso.4:16-17)
s Kundi Ndogo,lilotengwa kutoka kw
Babeli ( Ufunuo 7:13-17, Waso 4:16-17)
t Umati Mkubwa,unakosa kupata malipo
makuu (Ufunuo 7:13-17, 1 Wakorontho 3;13-15)
u Babeli,sehemu ilionzuri ya kanisa la
kawaida,kuanguka: wengine kubakia kwa Msingi
N,na wengine
chini zaidi (Ufunuo 3:15-16, 16:19)
v Babeli,ambayo ni ishara ya unafiki wa
kanisa la kawaida, kuanguka katika Msingi R,
pamoja na wasioamini (Ufunuo 18:2, Mathayo
24:51)
Wakati wa Miaka Elfu
w Kristo aliye tukuzwa,kichwa na mwili
(Ufunuo 19:7-8, 21:2
x Kundi la Kristo aliye tukuzwa,
latawala (1Yohana 3:2, Judi 14, Ufunuo 18:2)
y Kundi la Umati Mkubwa (Zaburi 45:14,
Ufunuo 7:9-10, 13-17, 19:1)
z Israeli ya kimwili yarejeshwa na
kuwa maarufu (Warumi 11:25-29, Zekaria 8:13-23)
W Ukoo wa mwanadamu warejeshwa kwa
ukamilifi na kuunganishwa na Mungu (Ufunuo
21:1-4, Isaya 35) |